Mambo yanaendelea kuiva taratibu tayari kuelekea Brazil from 12 June to
13 July 2014. Hiyo itakuwa mara ya pili kwa Brazil kuandaa Fainali za
Kombe la Dunia. Jumla ya nchi 32 zitashiriki. Jumla ya mechi 64
zitachezwa katika majiji 12 ya Brazil. Pia itakuwa ni mara ya kwa
"goal-line technology" kuanza kutumika kwenye Fainali za Kombe la Dunia.
Spain watakuwa wanatetea kombe hilo baada ya kufunga Holland 1-0 katika
Fainali zilizopita.
Blogroll
Alhamisi
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Tz
Popular Posts
-
Bunge la bajeti linaendelea bungeni mjini Dodoma ambapo sasa ni zamu ya wizara ya fedha na uchumi. Bajeti yake imewasilishwa na waziri w...
-
Yule trafiki wakike wa Kenya ambae kwa sasa Wakenya wengi wanamuita Koplo Linda Okelo ameingia tena kwenye headlines huko huko Kenya na k...
-
Behind the scene Diamond akihojiwa na Factory 78 ya UK. Behind The Scene Diamond akiwa na Super Designer aliyedesign Suit ya Diamond...
-
Siku chache baada ya taarifa za kutoka Morogoro zilizomhusu Mtoto Nasra ambaye kwa sasa ni marehemu ambaye alifungiwa kwenye box kwa miak...
-
Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba akizindua kijarida cha W...
-
Kikosi cha United msimu uliopita. Wakati David Moyes alipoambiwa kuwa ameteuliwa rasmi kuwa kocha wa Manchester United baada ya Sir ...
Recent Post
Blog Archive
-
▼
2014
(39)
-
▼
Juni
(8)
- The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil
- Msanii Jaguar na Rais Uhuru Kenyatta ni damdam mil...
- Ukuaji deni la taifa waumiza vichwa, hiki ni kiasi...
- Gerard Pique aweka hadharani alichoambiwa na Fabre...
- Unamkumbuka yule trafic wa Kenya alievaa sketi fup...
- Ukitoa mtoto aliyefungiwa kwenye box,huyu ni msich...
- Chatu mkubwa auawa Arusha, imani za kishirikina za...
- Picha za Mh. Komba zilizovuja mtandaoni ni aibu
-
▼
Juni
(8)
Inaendeshwa na Blogger.

0 comments:
Chapisha Maoni