
Pamba
zinavutia?: Wachezaji wa timu ya Taifa ya England (kutoka kushoto
kwenda kulia) Andros Townsend, Adam Lallana, Jermain Defoe, Leighton
Baines, Steven Gerrard, Ashley Cole, Frank Lampard, Chris Smalling,
Michael Carrick, Gary Cahill, John Ruddy na Rickie Lambert wakionesha
suti zilizobuniwa na Marks na Spencer kwa ajili ya kombe la duniani
mwaka huu nchini Brazil.
England kwa kupendeza ni kiboko yao.

Wametokelezea
bomba: Nyota wa simba watatu (kutoka kushoto kwenda kulia) Leighton
Baines, Frank Lampard, Steven Gerrard na Ashley Cole wanatarajiwa kuvaa
suti mpya wakielekea Brazil kushiriki kombe la dunia

Zimepimwa vizuri: Kila mchezaji wa kikosi cha Roy Hodgson atavaa suti ya Marks na Spencer


Kombe
lililopita: Bosi wa wakati huo wa England, Fabio Capello akiwa na
kikosi chake kilichovalia suti za Marks na Spencer mwaka 2010 wakati wa
kombe la dunia nchini Afrika kusini
0 comments:
Chapisha Maoni